• HABARI MPYA

  Jumatatu, Januari 23, 2017

  SIMBA NA POLISI DAR KATIKA PICHA JANA 'SHAMBA LA BIBI'

  Beki wa Simba, Janvier Besala Bokungu (kushoto) akipambana na beki wa Polisi katika mchezo wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation (ASFC) Raundi ya Tano jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-0
  Mshambuliaji Ibrahim Hajib wa Simba (kushoto) akiwania mpira dhidi ya Abbas Kapombe wa Polisi Dar
   Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akimtoka  winga wa Polisi
  Kiungo wa Simba, Said Ndemla akiwatoka viungo wa Polisi Dar
  Kipa wa Polisi, Kondo Salum akienda juu kudaka katika mchezo wa jana
  Kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto (kulia) akitafuta maarifa ya kuwatoka wachezaji wa Polisi
  Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe (kushoto) akijadiliana na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Ally Suru 
  Mwanachama maarufu wa Simba, Alhaj Juma Kapuya (kushoto) akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu, Said Tuliy jana
  Kikosi cha Simba katika mchezo wa jana
  Kikosi cha Polisi Dar jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA NA POLISI DAR KATIKA PICHA JANA 'SHAMBA LA BIBI' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top