• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 28, 2017

  CHELSEA YAUA 4-0 KOMBE LA FA KUSONGA MBELE

  Pedro akijiachia juu kushangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya 21 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Brentford Blues katika mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England leo Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao mengine ya Chelsea yalifungwa na Willian dakika ya 14, Branislav Ivanovic dakika ya 69 na Michy Batshuayi kwa penalti dakika ya 81 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YAUA 4-0 KOMBE LA FA KUSONGA MBELE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top