• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 26, 2017

  LIVERPOOL YAPIGWA 1-0 ANFIELD NA KUTUPWA NJE KOMBE LA LIGI

  Roberto Firmino wa Liverpool akimiliki mpira mbele ya beki wa Southampton, Ryan Bertrand katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England usiku wa Jumatano Uwanja wa Anfileld.  Southampton ilishinda 1-0, bao pekee la Shane Long na kuingia fainali ya kwanza ya Kombe tangu mwaka 2003. Southampton waliingia kwenye mchezo wa leo wakiwa wanangoza bao 1-0 baada ya ushindi wa nyumbani Uwanja wa St Mary's, bao pekee la Nathan Redmond PICHA ZAIDI GONHA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAPIGWA 1-0 ANFIELD NA KUTUPWA NJE KOMBE LA LIGI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top