Beki wa kushoto wa Liverpool, James Milner (kushoto) akimuangusha kiungo wa Swansea City, Mholanzi, Leroy Fer katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Anfield. Swansea wameshinda 3-2. Mabao ya Swansea yamefungwa na Fernando Llorente dakika ya 48 na 52 na Gylfi Sigurdsson dakika ya 74, wakati ya Liverpool yalifungwa na Roberto Firmino dakika ya 55 na 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
13 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment