• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 28, 2017

  ARSENAL YAFANYA MAUWAJI KOMBE LA FA, YAWAPIGA 5-0 SOUTHAMPTON

  Danny Welbeck akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 15 na 22 katika ushindi wa 5-0 wa Arsenal dhidi ya wenyeji Southampton leo Uwanja wa  St Mary's kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Komb la FA England. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Theo  Walcott dakika za 35, 69 na 84  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YAFANYA MAUWAJI KOMBE LA FA, YAWAPIGA 5-0 SOUTHAMPTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top