Mshambuliaji wa Manchester City, Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Crystal Palace kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England leo Uwanja wa Selhurst Park, London. Mabao mengine ya Man City yalifungwa na Leroy Sane dakika ya 71na Yaya Toure dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Snapchat predator jailed for child sex offences
-
Kasey Fitton, 20, is sentenced at Bradford Crown Court and jailed for more
than seven years.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment