GEOFFREY ‘OSAMA’ MTU MWINGINE HATARI KUWAHI KUTOKEA JANGWANI
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mkenya Geoffrey Mangenge ‘Osama’ akiruka juu dhidi ya kipa wa Kajumulo WS, Issa Manofu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Muungano mwaka 2000 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment