• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 27, 2017

  ULIMWENGU ALIVYOISHUHUDIA BARCA IKIUA 5-2 JANA CAMP NOU

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Emmanuel Ulimwengu (kushoto) akiwa Uwanja wa Camp Nou usiku wa jana na mchezaji wa klbu yake mpya, AFC Eskilstuna ya Ligi Kuu ya Sweden kushuhudia mchezo wa Kombe la Mfalme kati ya wenyeji, Barcelona na Real Sociedad. Barca ilishinda 5-2  
  Ulimwengu (kushoto) akiwa Uwanja wa Camp Nou usiku wa jana kushuhudia mchezo wa Kombe la Mfalme kati ya wenyeji, Barcelona na Real Sociedad 
  Ulimwengu (kushoto) akiwa Uwanja wa Camp Nou usiku wa jana kushuhudia mchezo wa Kombe la Mfalme kati ya wenyeji, Barcelona na Real Sociedad 
  Ulimwengu (kushoto) akiwa na rafiki wakipata chakula mjini Barcelona, ambako AFC Eskilstuna imekwenda kuweka kambi

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ULIMWENGU ALIVYOISHUHUDIA BARCA IKIUA 5-2 JANA CAMP NOU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top