Mshambuliaji wa Real Madrid, Ronaldo Ronaldo (katikati) akishirikiana na Lucas Vazquez (wa pili kulia) kuwania mpira dhidi ya kipa wa Getafe, Guaita katika mchezo wa La Liga jioni ya leo Uwanja wa Coliseum Alfonso Perez. Ral imeshinda 5-1 mabao yake yakifungwa na Karim Benzema dakika ya 29, Isco dakika ya 40, Gareth Bale dakika ya 50, James Rodriguez dakika ya 88 na Ronaldo dakika ya 90, huku la wenyeji likifungwa na Sarabia dakika ya 83 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Lindsey Vonn shows off remarkable progress in gym workout just four months
after horrific injury: 'Makes me so happy'
-
Wearing a figure-hugging gym set, there was no sign of any leg brace
supporting the leg that she broke during her first run at the Winter
Olympics back in ...
13 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment