Mshambuliaji wa Paris Saint Germain, Zlatan Ibrahimovic (katikati) akiondoka kibabe baada ya kuifungia timu yake mabao matatu katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Nice katika Ligue 1 ya Ufaransa Jumamosi Uwanja wa Parc des Princes. Bao lingine la PSG limefungwa na David Luiz made wakati la Nice limefungwa na Hatem Ben Arfa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment