Kipa wa Lyon, Anthony Lopes (katikati) akiwasaidia walinzi kuondoa karayasi kwenye Uwanja wa Parc Olympique Lyonnais usiku wa Ijumaa wakati wa mchezo wa Ligue 1 dhidi ya Nice. Mchezo huo ulisimama dakika ya 70 baada ya mashabiki kutupia karatasi nyingi uwanjani hadi zilipoondolewa ukaendelea na kumalizika kwa sare ya 1-1. Valere Germain alianza kuifungia NIce kabla ya Alexandre Lacazette kuwasawazishia Lyon, ambao dakika ya 25 walimpoteza mshambuliaji wao, Maxwel Cornet aliyetolewa kwa kadi nyekundu kwa mchezo mbaya PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Which European countries are attracting millionaires — and which are losing
them?
-
Wealthy people are increasingly choosing to live in Italy, Greece and
Switzerland, while the UK, Germany and France are finding it harder to
retain them, a...
7 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment