Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane akikimbia kushangilia baada ya kuisawazishia timu yake dakika ya 63 katika sare ya 1-1 na Liverpool Uwanja wa Anfield leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao la Liverpool limefungwa na Philippe Coutinho dakika ya 51 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment