Nyota wa Leicester City, Wes Morgan akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao pekee la ushindi dakika ya 38 wakiilaza 1-0 Southampton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja King Power. Leicester City sasa inafikisha pointi 69 baada ya kucheza mechi 32, ikiwazidi kwa pointi saba Tottenham Hotspur walio nafasi ya pili baada ya kucheza mechi 32 pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
UNICEF commends Mbah’s consistent 33% allocation to education
-
The United Nations Children’s Fund (UNICEF) has commended the Peter Mbah
Administration in Enugu State for consistently allocating over 33 per cent
of th...
55 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment