Maofisa wawili (katikati) wa klabu ya Esperance ya Tunisia wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya wenyeji Azam FC na Ndanda FC ya Mtwara uliomalizika kwa sare ya 2-2 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Esperance itamenyana na Azam Jumapili katika mechi ya kwanza hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika kabla ya kurudiana wiki mbili baadaye mjini Tunis
0 comments:
Post a Comment