• HABARI MPYA

    Thursday, January 07, 2016

    SIMBA SC NA URA KATIKA PICHA JANA UWANJA AMAAN, ZANZIBAR

    Kiungo wa Simba SC, Said Ndemla (kushoto) akitafuta maarifa ya kumpita kiungo wa URA, Derrick Tekwo jana katika mchezo wa Kundi A, Kombe la Mapinduzi Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Simba SC ilishinda 1-0
    Mwinyi Kazimoto wa Simba SC, akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa URA
    Mshambuliaji wa Simba SC, Danny Lyanga (kulia) akimiliki mpira pembeni ya Julius Ntambi wa URA
    Danny Lyanga akijaribu kupasua katikati ya wachezaji wa URA
    Mshambuliaji wa Simba SC, Hamisi Kizza akimtoka beki wa URA, Sam Senkoom
    Mshambuliaji wa URA, Elkannah Nkugwa akimiliki mpira mbele ya beki wa Simba SC, Juuko Murushid

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA URA KATIKA PICHA JANA UWANJA AMAAN, ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top