Mshambuliaji Lionel Messi akishangilia baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Espanyol usiku huu katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora michuano ya Kombe la Mfalme, maarufu kama Copa del Rey Uwanja wa Nou Camp. Mabao mengine ya mabingwa hao watetezi yamefungwa na Gerard Pique na Neymar, wakati bao pekee la Espanyol limefungwa na Felipe Caicedo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Former Arsenal star Aaron Ramsey lined up for his first job as a full-time
manager in League One
-
Aaron Ramsey did have a spell in charge as caretaker of Cardiff in 2025
after head coach Omer Riza was relieved of his duties. Ramsey drew two and
lost one...
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment