Mshambuliaji wa Everton, Romelu Lukaku akiifungia timu yake katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Manchester City mechi ya kwanza ya Nusu Fainali ya Kombe la Ligi, maarufu kama Capital One Cup Uwanja wa Goodison Park usiku wa jana. Bao lingine la Everton limefungwa na Ramiro Funes Mori, wakati la City lilifungwa na Jesus Navas PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Messi becomes World Cup all-time leading scorer - how has he stayed at the
top?
-
As he becomes the top goalscorer in World Cup history, BBC Sport explores
how Lionel Messi is still delivering on the biggest stage in his late 30s.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment