• HABARI MPYA

    Sunday, July 05, 2015

    ZUTAH 'ALIVYOMBWAGA' CHINI COUTINHO KAMA GUNIA LA MAHINDI SEA VIEW JANA

    Beki mpya wa Yanga SC, Mghana Joseph Tetteh Zutah akiwa amembwaga chini kiungo Mbrazil wa timu hiyo, Andrey Coutinho jana katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, barabara na Barack Obama eneo la Sea View, Dar es Salaam wakati wa mazoezi ya timu hiyo ya kujenga stamina.
    Lilikuwa ni zoezi la wachezaji kusukumana na Coutinho alianza vizuri kabla ya kuzidiwa nguvu na kubwagwa mchangani

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ZUTAH 'ALIVYOMBWAGA' CHINI COUTINHO KAMA GUNIA LA MAHINDI SEA VIEW JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top