• HABARI MPYA

    Tuesday, July 16, 2013

    NAHODHA STEVE GERRARD AONGEZA MIAKA MIWILI LIVERPOOL

    IMEWEKWA JULAI 16, 2013 SAA 9:52 USIKU
    KIUNGO Steven Gerrard amesaini Mkataba mpya wa miaka miwili wa kuendelea kuichezea Liverpool, ambao utamfanya adumu Anfield hadi atakapotimiza miaka 35.
    Nahodha huyo wa Liverpool, ameiambia tovuti ya Liverpool kwamba: "Nafikiri kila mmoja anajua inamaanisha nini kwangu,".
    Done: Liverpool captain Steven Gerrard has signed an extension to keep him at the club until 2015
    Imekubali: Nahodha wa Liverpool, Steven Gerrard amesaini Mkataba wa kuendelea kuichezea klabu hiyo hadi mwaka 2015
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: NAHODHA STEVE GERRARD AONGEZA MIAKA MIWILI LIVERPOOL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top