• HABARI MPYA

  Jumamosi, Julai 27, 2013

  MAN CITY YAENDELEA KUTAKATA, PELLEGRINI ATWAA TAJI LA KWANZA BAADA YA KUWAFUMUA SUNDERLAND 1-0 HONG KONG

  IMEWEKWA JULAI 27, 2013 SAA 2:04 USIKU
  BAO pekee la Edin Dzeko limeipa ushindi Manchester City dhidi ya Sundeland katika michuano ya Barclays Asia Trophy leo, huo ukiwa ushindi wa pili kwa kocha Manuel Pellegrini Hong Kong baada ya kufungwa mechi zote mbili Afrika Kusini.
  Kikosi cha Pellegrini kimefanikiwa kumaliza juu ya wapinzani wao wa England, Sunderland na Tottenham na kutwaa Kombe la michuano hiyo ya timu za Ligi Kuu.
  Kikosi cha Manchester City kilikuwa: Pantilimon; Zabaleta, Kompany, Nastasic/Lescott dk75, Clichy/Kolarov dk62, Milner/Navas dk46, Toure/Fernandinho dk62, Garcia, Silva/Nasri dk46, Dzeko na Negredo/Barry dk79.
  Sunderland: Mannone; Gardner, O’Shea, Brown, Colback; Johnson/Karlsson dk61, Larsson, Cabral/Ba dk46, Giaccherini/McClean dk76, Altidore/Wickham dk46 na Sessegnon/Mandron dk88.
  Up for the cup: Vincent Kompany lifted the Barclays Asia trophy, but will hope he's holding more come May
  Juu kuchukua Kombe: Vincent Kompany akiinua Kombe la Barclays Asia 
  Edin for a starting place: Manchester City's Edin Dzeko scored the winner against Sunderland in style
  Edin kikosi cha kwanza: Edin Dzeko wa Man City alifunga bao pekee la ushindi
  Struggles: The torrential rain made life difficult for the players and more importantly the goalkeeper
  Mechi yao leo ilichezwa kwenye mvua na makipa walikuwa wana kibarua kizito cha kudaka, kwani mipira ilikuwa inateleza mikononi
  Struggles: The torrential rain made life difficult for the players and more importantly the goalkeeper
  Struggles: The torrential rain made life difficult for the players and more importantly the goalkeeper
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: MAN CITY YAENDELEA KUTAKATA, PELLEGRINI ATWAA TAJI LA KWANZA BAADA YA KUWAFUMUA SUNDERLAND 1-0 HONG KONG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top