• HABARI MPYA

  Jumamosi, Julai 20, 2013

  LIVERPOOL YAPIGA WATU 2-0 INDONESIA

  IMEWEKWA JULAI 20, 2013 SAA 5:30 USIKU
  PANDE mbili tofauti za dunia, hadithi zile zile mbili za Liverpool. Luis Suarez aling'ara katika mchezo wa leo wa kujipima nguvu lakini Philippe Coutinho akaibeba shoo.
  Kumekuwa na maneno mengi kuhusu mustakabali wa Suarez hapa Jakarta wiki hii, lakini leo alikuwepo kwenye kikosi cha Brendan Rodgers, Liverpool kilichoibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Indonesia XI.
  Mabao ya Coutinho dakika ya 10 na Raheem Sterling dakika ya 87 yalimpa faraja Rodgers kwa ushindi huo.
  Kikosi cha Liverpool kilikuwa: Mignolet: Johnson/Kelly dk65, Toure/Wisdom dk65, Agger/Skrtel dk65, Enrique/Robinson dk46, Gerrard/Allen dk45, Lucas/Henderson dk65, Alberto/Assaidi dk65, Downing/Ibe dk65, Aspas/Borini dk65 na Coutinho/Sterling dk65.
  Indonesia XI: Meiga, Maitimo, M. Roby/Sinaga dk72, Igbonefo, Ruben Sanadi, Bustomi, Taufiq, Titus Bonai, Ferdinand, Boaz, Van Dijk/Boas dk55.
  On target: Phillippe Coutinho opened the scoring in Jakarta
  Phillippe Coutinho alifunga bao la kwanza Jakarta
  Philippe Coutinho
  Getting a run out: Steven Gerrard played for the first half in sweltering heat
  Steven Gerrard alicheza kipindi cha kwanza
  Getting stuck in: Lucas Leiva takes no chances against Taufik
  Lucas Leiva akipambana na Taufik
  On show: New boy Iago Aspas played 65 minutes
  Mchezaji mpya Iago Aspas alicheza kwa dakika 65
  Taking it easy: Brendan Rodgers watches proceedings from the dugout
  Brendan Rodgers akifuatilia mchezo
  In memory: Liverpool fans hold up a banner of Ann Williams, heroine of the Hillsborough campaign
  Mashabiki wa Liverpool wakiwa na bango la Ann Williams
  Spelling it out: Liverpool supporters make their feelings known on Luis Suarez
  Mashabiki wa Liverpool wakionyesha hisia zao juu ya Luis Suarez kwa bango hili
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: LIVERPOOL YAPIGA WATU 2-0 INDONESIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top