• HABARI MPYA

  Jumatano, Julai 24, 2013

  PELLEGRINI AREJEA KWENYE MAZISHI YA MAMA YAKE NA KUIONGOZA MAN CITY KUPATA USHINDI WA KWANZA TANGU AANZE KAZI

  IMEWEKWA JULAI 24, 2013 SAA 3:54 USIKU
  HAUKUWA mwanzo mzuri wa maisha ya kocha Manuel Pellegrini katika soka ya England, lakini leo amepata ushindi wa kwanza Manchester City ikishinda 1-0 dhidi ya China Kusini, bao pekee la Edin Dzeko dakika ya 21.
  Vipigo viwili Afrika Kusini katika mechi za mwanzo za Manchester City kujiandaa na msimu na kifo cha mama yake mkubwa, Silvia, ambacho kilimrejesha ghafla nyumbani Chile ndani ya mwezi mmoja tangu aanze kazi.
  Ilitarajiwa Pellegrini angekaa Santiago kwa zaidi, lakini amerejea kazini haraka katika ziara ya Kombe la Barclays Asia na kutua Hong Kong saa 24 baada ya mazishi.
  Kikosi cha Man City kilikuwa: Hart, Zabaleta/Sinclair dk75, Kompany, Lescott, Clichy/Kolarov dk45, Milner, Nasri, Barry/Rodwell dk55, Fernandinho/Javi Garcia dk65, Toure/Negredo dk55 na Dzeko/Richards dk75.
  China Kusini: Barry, Chak, Ticao, Cheng/Martins dk45, Naves, Lee Wai Lim/Lee Hong Lim dk52, Sealy, Tse, Joel, Kwok na Zhang.Goal: Edin Dzeko scores the winner after 21 minutes with a header off a James Milner cross
  Bao: Edin Dzeko akifunga bao la ushindi dakika ya 21 kwa kichwa akiunganisha krosi ya James Milner
  Attack: Kwok Kin Pong of South China heads the ball over James Milner
  Kwok Kin Pong wa China Kusini akipiga kichwa mpira dhiai ya James Milner
  Back on the sideline: Pellegrini takes charge having returned from his mother's funeral
  Amerudi kazini: Pellegrini amerejea kazini baada ya mazishi ya mama yake mkubwa
  Newcomer: Negredo plays a defence-splitting ball
  Aleksandar Kolarov leaps over his opponent
  Kivutio: Negredo (kushoto) aling'ara leo akitokea benchi kama anavyoonekana akimtoka Kolarov (kulia)
  Safe hands: Hart takes control of his defence
  Mikono salama: Hart aliokoa vizuri leo
  Defence: Kompany chases back to deal with a rare South China attack
  Mlinzi: Kompany akimkimbiza mshambuliaji wa China Kusini
  Wet, wet, wet: It is very, very wet in Hong Kong
  Nyomi ya mashabiki
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: PELLEGRINI AREJEA KWENYE MAZISHI YA MAMA YAKE NA KUIONGOZA MAN CITY KUPATA USHINDI WA KWANZA TANGU AANZE KAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top