• HABARI MPYA

  Alhamisi, Julai 25, 2013

  ARSENAL YAWAPIGIA HESABU PABLO OSVALDO NA KIUNGO WA ATLETICO...YAITAKA PIA ROMA IONGEZE DAU LA KUMNUNUA GERVINHO

  IMEWEKWA JULAI 25, 2013 SAA 3:00 ASUBUHI
  KLABU ya Arsenal imeiambia Roma iongeze dau lake ililotoa kwa ajili ya mshambuliaji Gervinho. Roma imetoa ofa ya Pauni Milioni 6.8 na Arsenal inataka Pauni Milioni 8.6.
  Mshambuliaji wa Roma, Pablo Osvaldo pia amekuwa katika mjadala. Fulham pia wanamtaka Osvaldo.
  Msaka vipaji wa Arsenal, Everton Gushiken alimuangalia kiungo wa Atletico Mineiro, Bernard dhidi ya Olimpia usiku wa jana katika Fainali ya Copa Libertadores.
  On his way: Roma want to bring Gervinho to Italy from Arsenal
  Yuko njiani: Roma inamtaka Gervinho ahamie Italia kutoka Arsenal
  Swap deal: Pablo Osvaldo (left) could be included in a potential Gervinho transfer
  Dili la kubadilishana: Pablo Osvaldo (kushoto) anaweza kuhusishwa kwenye dili la uhamisho wa Gervinho
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: ARSENAL YAWAPIGIA HESABU PABLO OSVALDO NA KIUNGO WA ATLETICO...YAITAKA PIA ROMA IONGEZE DAU LA KUMNUNUA GERVINHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top