• HABARI MPYA

    Thursday, July 18, 2013

    SIMBA SC WASAFISHA NYOTA KWA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE, WAZURU KABURI LAKE BUTIAMA

    IMEWEKWA JULAI 18, 2013 SAA 6:45 MCHANANa Baba wa Taifa; Wachezaji wa Simba SC wakiwa na sanamau la Baba wa Taifa, marehemu Mwalimu Julius Nyerere juzi walipotembelea nyumba ya kumbukumbu ya Rais huyo wa kwanza wa Tanzania Tarime mkoani Mara. Simba ilikuwa mkoani hukko kwa ziara ya mchezo mmoja wa kirafiki ambao walicheza na Polisi Mara na kutoka sare ya 1-1 jana.  

    Kaburini kwa baba wa Taifa

    Zahor Pazi

    Kulia Zahor Pazi na kushoto Jonas Mkude wakiwa na Mama Maria Nyerere, mjane wa Mwalimu Nyerere

    Nyota wa Msimbazi

    Kwa raha zao

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: SIMBA SC WASAFISHA NYOTA KWA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE, WAZURU KABURI LAKE BUTIAMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top