• HABARI MPYA

  Jumamosi, Julai 20, 2013

  MSHAMBULIAJI MSUDAN WA SIMBA SC ARUKA UKUTA TAIFA BAADA YA KUTUPIWA VIRAGO MSIMBAZI

  IMEWEKWA JULAI 20, 2013 SAA 3:00 USIKU
  MCHEZO GANI KURUKA UKUTA; Mshambuliaji  Msudan aliyetemwa Simba SC baada ya kufeli majaribio, Kon James akiruka ukuta ili akaketi jukwaani kufuatilia mchezo wa kirafiki kati ya Wekundu hao wa Msimbazi na URA ya Uganda. Kon James aliyetokea Al Nasir Juba ya Sudan Kusini amefanya majaribio Simba SC kwa takriban wiki mbili na hakumvutia kocha mzalendo, Alhaj Abdallah Athumani Seif ‘King Kibaden’.  
  Ameketi anatazama mechi...
  Anaruka...

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: MSHAMBULIAJI MSUDAN WA SIMBA SC ARUKA UKUTA TAIFA BAADA YA KUTUPIWA VIRAGO MSIMBAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top