• HABARI MPYA

  Alhamisi, Julai 25, 2013

  CHELSEA YAFUMUA MTU 8-1, MOURINHO NAFSI YAKE 'BARIDIIIIIIIII'

  IMEWEKWA JULAI 25, 2013 SAA 2:19 USIKU
  KLABU ya Chelsea imekamilisha ziara yake ya Asia kwa ushindi wa kishindo wa mabao 8-1 dhidi ya Indonesia All Stars na kocha Jose Mourinho anarejea nyumbani nafsi yake ikiwa imerishika na wachezaji waliowasili mapema.
  Romelu Lukaku ameonyesha uwezo wa kufunga kwa kufunga mabao manne katika dakika 135 na Bertrand Traore pia ameonyesha ni kiungo hodari.
  Kevin De Bruyne amevutia mjini Bangkok na Kuala Lumpur na mjini Jakarta, Nathaniel Chalobah alikuwa miongoni mwa waliovutia.
  Mabao ya Chelsea yalifungwa na Hazard kwa penalti dakika ya 21, Ramires dakika ya 29 na 56, Ba dakika ya 32, Terry dakika ya 45, Traore dakika ya 50 na Lukaku dakika ya 52 na 65.
  Bao la kufutia machozi la Indonesia All-Stars limefungwa na Kalas aliyejifunga dakika ya 67.
  Kikosi cha Chelsea kilikuwa: Blackman/Schwarzer dk46, Wallace/Ivanovic dk46, Cahill, Terry/Kalas dk46, Bertrand/Cole dk46, Chalobah/Essien dk46, Van Ginkel/McEachran dk60, Ramires/Feruz dk60, Hazard/Piazon dk60, Moses/Traore dk46 na Ba/Lukaku dk46.
  Thrashing: Wallace, Demba Ba and Ramires (let-right) celebrate as Chelsea run riot
  Wakali wa mabao: Kutoka kushoto Wallace, Demba Ba na Ramires (wakishangilia ushindi wa Chelsea leo
  Skipping away: Captain John Terry celebrates with Gary Cahill
  Nahodha John Terry akishangilia na Gary Cahill
  Going wild: Fans in Indonesia celebrate as Chelsea thrashed the All-Stars
  Mashabiki Indonesia wakiishangilia Chelsea 
  Boss: Jose Mourinho gestures whilst watching the match on the touchline as his side romp home
  Jose Mourinho akilalama
  Captain: Chelsea's John Terry (right) celebrates scoring his side's fourth goal of the game with teammates
  Nahodha wa Chelsea, John Terry (kulia) akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kufunga
  No mistake: Chelsea's Eden Hazard scores his side's first goal of the game from the penalty spot
  Eden Hazard akifunga kwa penalti
  Midfield magic: Chelsea's Ramires doubled Chelsea's lead with this strike
  Ramires akifunga
  Just warming up: Demba Ba (left) and Ramires celebrate the Blues going 3-0 up
  Demba Ba (kushoto) na Ramires wakishangilia
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: CHELSEA YAFUMUA MTU 8-1, MOURINHO NAFSI YAKE 'BARIDIIIIIIIII' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top