• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 28, 2013

  MTOTO WA BOSI LA YANGA AITWA KWA MAJARIBIO CHELSEA YA ENGLAND

  Picture
  IMEWEKWA JULAI 28, 2013 SAA 12:30 JIONI
  Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, Davis Mosha 'The Boss', akifanya mahojiano na kituo cha Sauti ya Marekani (VOA) mjini Washington DC kuhusu mwanawe Edgar Mosha mwanafunzi mwenye kipaji cha masomo na soka, ambaye amesema ameitwa kufanya majaribio katika akademi ya Chelsea ya Engand. Chelsea inaye mchezaji mwingine Mtanzania, Adam Nditi ambaye sasa anakaribia kupandishwa timu ya wakubwa. 
  Picture
  Edgar Davis Mosha mtoto wa mfanyabiashara maarufu na mmiliki wa DELINA, Davis Mosha akihojiwa na VOA. Edgar na baba yake wametua kwa kishindo nchini Marekani wakitokea Uingereza ambako Edgar amepeperusha vyema bendera ya Tanzania kwa kuitwa  kufanya majaribio na klabu ya Chelsea.
  Picture
  Kutoka kushoto; Juliet , Sunday Shomary, Edgar Mosha, Davis Mosha na Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya VOA, Dk. Hamza Mwamoyo.
  Picture
  Picture
  Picture
  Picture
  Picture
  Picture
  Baada ya mahojiano na kituo cha VOA msafara wa Mosha ulielekea Sequoia kwa hafla fupi .
  Picture
  Edgar na Juliet wakiwa Sequoia wakiwa Water Front.
  Picha kwa hisani ya SwahiliTv.blogspot.com
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: MTOTO WA BOSI LA YANGA AITWA KWA MAJARIBIO CHELSEA YA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top