• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 28, 2013

  WACHEZAJI STARS WALIVYOONDOKA NA NYUSO ZA HAYA LEO UGANDA BAADA YA KIPIGO KITAKATIFU JANA NAMBOOLE

  IMEWEKWA JULAI 28, 2013 SAA 11:52 JIONIAibu iliyoje hii; Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebe, Uganda baada ya jana kufungwa na wenyeji mabao 3-1 katika mechi ya mwisho ya kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN), zinazoshusisha wachezaji wanaocheza ligi za nchini mwao pekee. Tanzania imetolewa kwa jumla ya mabao 4-1 baada ya wiki mbili zilizopita kufungwa na Korongo wa Uganda 1-0 mjini Dar es Salaam. 

  Wanarudi nyumbani...

  Yamekwishatokea hakuna kujuta

  Hakuna kumchekea mtu, uso wa mbuzi tu

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: WACHEZAJI STARS WALIVYOONDOKA NA NYUSO ZA HAYA LEO UGANDA BAADA YA KIPIGO KITAKATIFU JANA NAMBOOLE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top