• HABARI MPYA

    Monday, July 29, 2013

    MAN UNITED YAUA 5-2, WELLBECK AWAINUA MASHETANI WEKUNDU

    IMEWEKWA JULAI 29, 2013 SAA 1:39 USIKU
    MANCHESTER  United imeibuka na ushindi wa mabao 5-2 leo kwenye Uwanja wa Hong Kong dhidi ya Kitchee na kumpa faraja kocha mpya David Moyes.
    Mabao ya United leo yamefungwa na Danny Welbeck dakika ya 16, Smalling dakika ya 22, Fabio dakika ya 26, Januzaj dakika ya 50 na Lingard dakika ya 80, wakati ya wenyeji yamefungwa na Lam dakika ya 53 na Alkande dakika ya 69.
    Kikosi cha Man United leo kilikuwa: Amos; Fabio/Rafael dk72, Smalling, Keane, Evra/Buttner dk46, Carrick/Jones dk72, Zaha/Van Persie dk81, Anderson, Cleverley, Young/Lingard dk46 na Welbeck/Januzaj dk46.
    Kitchee: Comi, Rodriguez, Rehman, Kei, Alkande, Belencoso, Wai, Annan, Yang na To.
    On target: Danny Welbeck struck as Manchester United fired a hatful past Kitchee
    Amefunga: Danny Welbeck ameifungia Manchester United ikiiadhibu Kitchee
    Piling in: Chris Smalling flies into a slding tackle across the uneven turf
    Chris Smalling amefunga pia
    Back in action: Robin van Persie came on for the last 10 minutes
    Robin van Persie aliingia dakika 10 za mwisho
    Take that: Wilfried Zaha is tackled by Kitchee's Daniel Cancela Rodriguez
    Wilfried Zaha akichezewa rafu na mchezaji wa Kitchee, Daniel Cancela Rodriguez
    Drive: Adnan Januzaj (centre) was impressive for United in the second half
    Adnan Januzaj (katikati) alikuwa kivutio upande wa United kipindi cha pili
    Watching on: David Moyes (right) along with staff Ryan Giggs (left) and Phil Neville (second left)
    Benchi la Ufundi: David Moyes (kulia) akiwa na wasaidizi wake, Ryan Giggs (kushoto) na Phil Neville (wa pili kushoto)
    All together now: Man United players celebrate during the rout
    Wachezaji wa Man United wakishangiliaHands in the air: Hong Kong based supporters of Manchester United enjoy themselves
    Mikono juu: Mashabiki wa Hong Kong wakiishangilia Manchester United
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MAN UNITED YAUA 5-2, WELLBECK AWAINUA MASHETANI WEKUNDU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top