• HABARI MPYA

  Jumatano, Julai 31, 2013

  BONDIA MTANZANIA KIMWERI ALIVYOMGARAGAZA MTHAILAND

   Bondia Mtanzania Omari Kimweri  anayefanya shughuli zake Australia kulia akinyooshwa mkono juu kuashilia ushindi wake baada ya kumtwanga  Ekkalak Saenchan  wa Thailand kwa KO raundi ya kwanza  PICHA NAwww.superdboxingcoach.blogspot.com

  Bondia Mtanzania Omari Kimweri  anaefanya shughuli zake Australia kulia akinyooshwa akimsukumia makonde mazito mfululizi bondia Ekkalak Saenchan  wa Thailand na kufanikiwa kumtwanga kwa kwa KO raundi ya kwanza mwishoni mwa wiki iliyopita picha kwa niaba ya Mtandao wa SUPER D
  Bondia Mtanzania Omari Kimweri  anaefanya shughuli zake Australia akimsikilizia mpinzani wake baada ya kumtwanga kumi nzito na kuhesabilwa wakati wa mpambano wake ata hivyo mpinzani wake akuendelea na kufanikiwa kupata ushindi wa K,O ya raundi ya kwanza
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: BONDIA MTANZANIA KIMWERI ALIVYOMGARAGAZA MTHAILAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top