• HABARI MPYA

    Tuesday, July 16, 2013

    BLANCA AJISHINDI MILIONI PEOMOSHENI YA WINDA NA USHINDE YA SERENGETI

    IMEWEKWA JULAI 16, 2013 SAA 7:33 MCHANAWinda Ushinde; Mshindi wa shilingi milioni moja wa shindani la Winda na Ushinde Bi. Blanca Maliti (katikati) mkazi wa mjini Morogoro akikabidhiwa mfano wa hundi na Meneja wa Mauzo wa Serengeti Breweries kanda ya kati Octavian Migire, kushoto kwake ni mama mdogo wa Blanca, Mwalimu Theresia Masashua kutoka Turiani, Bianca ni mshindi wa tatu kujishindia shilingi milioni moja katika promosheni hiyo ya Winda na Ushinde inayoendeshwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti.;

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: BLANCA AJISHINDI MILIONI PEOMOSHENI YA WINDA NA USHINDE YA SERENGETI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top