• HABARI MPYA

    Saturday, July 07, 2018

    ROONEY AENDELEA KUJIWEKA SAWA KWA LIGI YA MAREKANI

    Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United na England, Wayne Rooney akijimwagia maji wakati wa mazoezi ya timu yake mpya, DC United jana kujiandaa na mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu ya Marekani (MLS) dhidi ya Vancouver Whitecaps Julai 10 baada ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 kujiunga na timu hiyo Washington DC akitokwa Everton ya kwao, England mwezi uliopita 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ROONEY AENDELEA KUJIWEKA SAWA KWA LIGI YA MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top