• HABARI MPYA

  Wednesday, July 11, 2018

  KARIUS AFUNGWA TENA MABAO YA KIZEMBE LIVERPOOL YASHINDA 3-2

  Kipa Mjerumani wa Liverpool, Loris Karius akiwa amekasirika baada ya kufungwa mabao ya kizembe katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Prenton Park timu yake ikishinda 3-2 dhidi ya wenyeji, Tranmere Rovers. Karius aliyefungwa kizembe kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Real Madrid kwa makosa ya jana, wazi ana shughuli pevu kuendelea kuwa kipa wa kwanza wa timu. Mabao ya Wekundu hao jana yalifungwa na Rafael Camacho, Sheyi Ojo na Adam Lallana 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KARIUS AFUNGWA TENA MABAO YA KIZEMBE LIVERPOOL YASHINDA 3-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top