• HABARI MPYA

    Friday, April 01, 2016

    KWA MAZOEZI HAYA, KAZI IPO KESHO EL CLASICO

    Winga Mreno wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo (kulia) akiwa mazoezini na nyota mwenzake wa timu hiyo, James Rodriguez kujiandaa na mchezo wa El Clasico wa La Liga dhidi ya mahasimu Barcelona kesho usiku Uwanja Camp Nou PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KWA MAZOEZI HAYA, KAZI IPO KESHO EL CLASICO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top