• HABARI MPYA

  Friday, April 05, 2024

  RAIS DK SAMIA AMKABIDHI KARIA MILIONI 500 KWA AJILI YA TIMU ZA TAIFA


  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia mfano wa Hundi ya Shilingi Milioni 500 kwa ajili ya Mashindano yanayohusu timu za taifa jana Ikulu Jijini Dar es Salaam. 
  Fedha hizo zimetolewa na Wafanyabiashara wa Zanzibar katika kumuunga mkono Rais Samia kwenye michezo jana. Kushoto ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishuhudia. 
  GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS DK SAMIA AMKABIDHI KARIA MILIONI 500 KWA AJILI YA TIMU ZA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top