• HABARI MPYA

  Friday, February 02, 2024

  SIMBA SC YAMSAMEHE CHAMA BAADA YA KUOMBA MSAMAHA


  UONGOZI wa Simba SC umemsamehe kiungo wake, Clatous Chotta Chama baada ya  Mzambia huyo kuomba msamaha kufuatia kusimamishwa kwa tuhuma za utovu wa Nidhamu.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YAMSAMEHE CHAMA BAADA YA KUOMBA MSAMAHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top