• HABARI MPYA

  Tuesday, February 13, 2024

  JKT TANZANIA NA SIMBA SC KUPIGWA MEJA ISAMUHYO


  MCHEZO ujao wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baina ya JKT Tanzania na Simba SC utapigwa Alhamisi Februari 15, 2024 Saa 10:00 jioni Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni Jijini Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JKT TANZANIA NA SIMBA SC KUPIGWA MEJA ISAMUHYO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top