• HABARI MPYA

  Wednesday, February 28, 2024

  GEITA GOLD YATOKA SULUHU NA KAGERA SUGAR NYANKUMBU


  WENYEJI, Geita Gold wamelazimishwa sare ya bila mabao na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa sekondari ya Nyankumbu mjini Geita.
  Kwa suluhu hiyo, Geita Gold inafikisha pointi 17 katika nafasi ya 14 na Kagera Sugar inafikisha pointi 22, ingawa inabaki nafasi ya saba baada ya timu zote kucheza mechi 18.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GEITA GOLD YATOKA SULUHU NA KAGERA SUGAR NYANKUMBU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top