• HABARI MPYA

    Friday, February 16, 2024

    AJIBU AFUNGA BAO PEKEE COASTAL YAILAZA DODOMA 1-0 MKWAKWANI

    BAO pekee la Ibrahim Ajibu kwa penalti dakika ya pili tu jana liliipa Coastal Union ushindi wa 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
    Kwa ushindi huo, Coastal Union inafikisha pointi 23 na kupanda nafasi ya nne, wakati Dodoma Jiji inabaki na pointi zake 19 na kushukia nafasi ya nane baada ya wote kucheza mechi 16.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AJIBU AFUNGA BAO PEKEE COASTAL YAILAZA DODOMA 1-0 MKWAKWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top