// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAN UNITED YASHINDA 3-0 DHIDI YA WEST HAM UNITED - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAN UNITED YASHINDA 3-0 DHIDI YA WEST HAM UNITED - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Sunday, February 04, 2024

  MAN UNITED YASHINDA 3-0 DHIDI YA WEST HAM UNITED


  WENYEJI, Manchester United wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya West Han United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester.
  Mabao ya Manchester United yamefungwa na Rasmus Højlund dakika ya 23 na Alejandro Garnacho mawili, dakika ya 49 na 84 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 35 katika mchezo wa 22 na kusogea nafasi ya nane, wakati West Han United inabaki na pointi zake 36 za mechi 22 pia nafasi ya sita.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YASHINDA 3-0 DHIDI YA WEST HAM UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top