• HABARI MPYA

  Sunday, February 11, 2024

  BAFANA BAFANA WASHINDI WA TATU AFCON, WAICHINJA DRC KWA MATUTA


  TIMU ya Afrika Kusini jana ilifanikiwa kushinda nafasi ya Tatu katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrka baada ya ushindi wa penalti 6-5 dhidiya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kommgo (DRC) kufutia sate ya 0-0 ndani ya fakika 120 Uwanja wa Félix Houphouët-Boigny Jijini Abidjan nchini Ivory Coast.
  Waliofunga penalti za Bafana Bafana ni Nkosinathi Sibisi, Thabang Monare, Aubrey Modiba, Zakhele Lepasa, Oswin Appollis na Siyanda Xulu, huku Teboho Mokoena pekee akikosa.
  Waliofunga penalti za DRC ni Samuel Moutoussamy, Omenuke Mfulu, Cédric Bakambu, Joris Kayembe na Yoane Wissa, huku Chancel Mbemba na Meschack Elia wakikosa. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAFANA BAFANA WASHINDI WA TATU AFCON, WAICHINJA DRC KWA MATUTA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top