• HABARI MPYA

  Thursday, February 15, 2024

  MAKOCHA WA SIMBA SC WAFUNGIWA NA FAINI JUU KWA FUJO DHIDI YA AZAM


  KOCHA Msaidizi wa Simba SC, Suleiman Abdallah Matola amefungiwa mechi tatu kwa kosa la kufanya vurugu kwenye mchezo dhidi ya Azam FC Februari 9 Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
  Aidha, Kocha wa Fiziki wa Simba, Jean Laurent pia amefungiwa mechi tatu kwa kuhusika kwenye kosa la Matola na wote wawili pia wametozwa Faini ya Sh. 500,000 kila mmoja.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAKOCHA WA SIMBA SC WAFUNGIWA NA FAINI JUU KWA FUJO DHIDI YA AZAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top