• HABARI MPYA

  Sunday, February 04, 2024

  TANZANIA YANG'ARA KATIKA FUTSAL, YAICHAPA NAMIBIA 5-2 WINDHOEK


  TIMU ya Taifa ya Futsal jana iliibuka na ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya wenyeji, Namibia katika mchezo wa kwanza kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika uliofanyika Uwanja wa Showgrounds Jini Windhoek.
  Timu hizo zitarudiana Jijini Dar es Salaam Februari 11 na mshindi wa jumla atafuzu kwenye Fainali za Futsal, michuano ambayo itafanyika kuanza Aprili 8 hadi 17 Jijini Laayoune, Morocco. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANIA YANG'ARA KATIKA FUTSAL, YAICHAPA NAMIBIA 5-2 WINDHOEK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top