• HABARI MPYA

  Sunday, February 11, 2024

  GSM AAFIKI KUIJENGEA YANGA UWANJA WA KISASA JANGWANI


  MDHAMINI na Mfadhili wa klabu ya Yanga, Ghalib Said Mohamed ameridhia mpango wa ujenzi wa Uwanja wa kisasa eneo la makao makuu ya klabu hiyo, makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GSM AAFIKI KUIJENGEA YANGA UWANJA WA KISASA JANGWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top