• HABARI MPYA

  Wednesday, February 21, 2024

  KAGERA SUGAR YAITUPA NJE PAMBA AZAM SPORTS FEDERATION CUP


  TIMU ya Kagera Sugar jana ilifanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya kuitoa Pamba FC ya Mwanza kuichapa 1-0, jana Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. 
  Bao pekee la Kagera Sugar jana lilifungwa na Said Naushad na kwenye mchezo mwingine wa jana, Rhino Rangers iliitupa nje Mabao FC kwa kuitandika mabao 5-1 Uwanja wa shule ya sekondari ya wavulana ya Tabora. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAGERA SUGAR YAITUPA NJE PAMBA AZAM SPORTS FEDERATION CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top