• HABARI MPYA

  Thursday, February 01, 2024

  DUBE NA DIAO WAFUNGA AZAM FC YAICHAPA KVZ 3-1 CHAMAZI


  TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya KVZ katika mchezo wa kirafiki jioni ya Jumatano Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
  Mabao ya Azam FC yamefungwa na washambuliaji, Mzimbabwe Prince Dube Mpumelelo na Wasenegal, Alassane Diao na beki Cheikh Sidibe.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DUBE NA DIAO WAFUNGA AZAM FC YAICHAPA KVZ 3-1 CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top