• HABARI MPYA

  Sunday, February 04, 2024

  JKT QUEENS YAPOKWA POINTI TANO NA FAINI MILIONI 3


  TIMU ya JKT Queens imepokonywa pointi tano na kutozwa Faini ya Sh. Milioni 3 kwa kosa la kutotokea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara dhidi ya Simba SC Januari 8, mwaka huu.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JKT QUEENS YAPOKWA POINTI TANO NA FAINI MILIONI 3 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top