• HABARI MPYA

  Sunday, February 11, 2024

  HAALAND APIGA ZOTE MBILI MAN CITY YAICHAPA EVERTON 2-0


  MABAO ya mshambuliajim Mnorway, Erling Haaland dakika ya 71 na 85 jana yaliwapa Manchester City ushindi wa 2-0dhidi ya Everton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad Jijini Manchester.
  Kwa ushindi huo, mabingwa hao watetezi wanafikisha pointi 52 katika mchezo wa 23, ingawa wanabaki nafasi ya pili wakizidiwa pointi mbili na Liverpool ambayo pia imecheza mechi moja zaidi, wakati Everton inabaki na pointi zake 19 za mechi 24 nafasi ya 18.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAALAND APIGA ZOTE MBILI MAN CITY YAICHAPA EVERTON 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top