• HABARI MPYA

  Saturday, February 24, 2024

  COASTAL UNION YAICHAPA MTIBWA SUGAR 1-0 MKWAKWANI


  BAO pekee la Charles Semfuko dakika ya 12 limeipa Coastal Unión ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Mkwakwani Tanga.
  Kwa ushindi huo, Coastal Unión inafikisha pointi 26 katika mchezo wa 17, ingawa inabaki nafasi ya nne, wakati Mtibwa Sugar wanaobaki na pointi zao nane za mechi 16 sasa wanaendelea kushika mkia.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COASTAL UNION YAICHAPA MTIBWA SUGAR 1-0 MKWAKWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top