// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MANCHESTER UNITED YAICHAPA ASTON VILLA 2-1 VILLA PARK - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MANCHESTER UNITED YAICHAPA ASTON VILLA 2-1 VILLA PARK - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Monday, February 12, 2024

  MANCHESTER UNITED YAICHAPA ASTON VILLA 2-1 VILLA PARK


  TIMU ya Manchester United imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Aston Villa katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Jumapili Uwanja wa Villa Park, Birmingham.
  Mabao ya Manchester United yamefungwa na Rasmus Hojlund dakika ya 17 na Scott McTominay dakika ya 86, wakati bao pekee la Aston Villa limefungwa na Douglas Luiz dakika ya 67.
  Kwa ushindi huo, kikosi cha kocha Mholanzi, Erik ten Hag kinafikisha pointi 41, ingawa kinabaki nafasi ya sita kikizidiwa pointi tano na Aston Villa baada ya wote kucheza mechi 24.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANCHESTER UNITED YAICHAPA ASTON VILLA 2-1 VILLA PARK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top